Star Tv

Mwili wa Hayati John Magufuli tayaari umewasili Visiwani Zanzibar katika uwanja wa Amani kwa ajili ya kuagwa na Wazanzibari.

Shughuli ya kuaga mwili wa hayati Dkt. Magufuli visiwani humo inaongozwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

Raia visiwani Zanzibar wameungana kumuaga Hayati John Pombe Magufuli katika uwanja wa Amani.

Aidha, Mwili wa hayati Dkt. Magufuli utazungushwa kwenye maeneo mbalimbali visiwani humo ili kutoa dfursa kwa wananchi ambao hawajaweza kufika kwenye viwanja hivyo nao kupata fursa ya kuaga.

Latest News

RAIS TSHISEKEDI ADHIBITI BARAZA LAKE JIPYA LA MAWAZIRI.
13 Apr 2021 18:22 - Grace Melleor

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu alitangaza baraza jipya la Mawaziri katika hatua ambayo inaimar [ ... ]

MALIPO YA NDEGE MPYA TATU YAKAMILIKA.
13 Apr 2021 18:04 - Grace Melleor


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu.

WASAFIRI KUTOKA KENYA KUINGIA KARANTINI KWANZA IRELAND.
12 Apr 2021 13:43 - Grace Melleor

Wasafiri wanaoelekea Ireland kutoka Kenya watalazimika kujitenga kwa wiki mbili baada ya kuwasili katika nchi hiyo ya ba [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.