Star Tv

Aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime Vijijini John Heche wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameshindwa kutetea jimbo hilo tena.

Hii ni mara baada ya Mgombea Ubunge mwenzie kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwita Waitara kutangazwa kushinda jimbo hilo.

Waitara ameshinda ubunge Jimbo hilo la Tarime Vijijini kwa kupata kura 35,758 dhidi ya mpinzani wake John Heche aliyepata kura 18,757

Msimamizi wa uchaguzi amemtangaza Waitara kushinda kwa asilimia 95 dhidi ya mpinzani wake Heche aliyepata asilimia 10.

 

Latest News

RAIS TSHISEKEDI ADHIBITI BARAZA LAKE JIPYA LA MAWAZIRI.
13 Apr 2021 18:22 - Grace Melleor

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu alitangaza baraza jipya la Mawaziri katika hatua ambayo inaimar [ ... ]

MALIPO YA NDEGE MPYA TATU YAKAMILIKA.
13 Apr 2021 18:04 - Grace Melleor


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu.

WASAFIRI KUTOKA KENYA KUINGIA KARANTINI KWANZA IRELAND.
12 Apr 2021 13:43 - Grace Melleor

Wasafiri wanaoelekea Ireland kutoka Kenya watalazimika kujitenga kwa wiki mbili baada ya kuwasili katika nchi hiyo ya ba [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.