Star Tv

"Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeona ni vyema kutumia busara kumuacha mheshimiwa Lissu kuendelea na ratiba zake kipindi hiki cha kampeni na kwa kuwa tayari Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Simon Sirro alishatoa maelekezo kwa Mhe.Tundu Lissu kuripoti kituo cha Polisi Moshi Mkoa wa Kilimanjaro, hivyo Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesitisha wito huo"-Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa.

Latest News

ETHIOPIA YASEMA HAITISHWI NA TAMKO LA RAIS DONALD TRUMP.
24 Oct 2020 16:54 - Grace Melleor

Waziri mkuu wa Ethiopia amesema nchi yake "haitakubali vitisho vya aina yoyote" baada ya Rais Donald Trump kusema kuwa M [ ... ]

RAIS TSHISEKEDI ATANGAZA MASHAURIANO YA UMOJA KWA MUUNGANO TAWALA.
24 Oct 2020 06:41 - Grace Melleor

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi, katika hotuba yake kwa taifa aliyoitoa siku ya Ijumaa wiki hi [ ... ]

SEKTA YA AFYA NCHINI YAPATA NEEMA KUTOKA USWISI.
23 Oct 2020 15:23 - Grace Melleor

Serikali imepokea msaada wa Faranga za Uswisi Milioni 15.75 sawa na shilingi Bilioni 39.59 kwa ajili ya kugharamia mradi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.