Bunge la uwakilishi nchini Marekani limepiga kura ya kutokuwa na imani dhidi ya rais Donald Trump kwa kuchochea ghasia zilizosababisha uvamizi wa jumba la bunge la Capitol.
Add a commentAkaunti za Twitter na Facebook za rais wa Marekani Donald Trump zimefutwa kwa muda baada ya kutuma ujumbe kwa wafuasi wake waliovamia bunge la Marekani.
Add a commentMwanachama wa Republican anasema kwamba atakuwa Seneta wa kwanza kupinga kuidhinishwa kwa Joe Biden kama Rais wa Marekani wakati bunge la Congress litakapomuidhinisha rais huyo mteule wiki ijayo.
Add a commentIdadi ya wajumbe wa Republican imeongezeka, wakiungana na juhudi za Rais Donald Trump kupinga matokeo ya uchaguzi wa Marekani uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2020.
Add a commentOfisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imeelezea wasiwasi kuhusu adhabu iliyotolewa leo na mahakama ya China ya kifungo cha miaka minne jela dhidi ya mwanahabari wa Kichina Zhang Zhan ambaye aliangazia mlipuko wa kwanza wa virusi vya corona katika mji wa Wuhan.
Add a commentVinyonga 74 wameokolewa na kupelekwa kwenye bustani ya wanyama ya nchini Austria baada ya kubainika wakiwa kwenye sanduk [ ... ]
Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya kiongozi wa Urusi Vladimir Putin kuhusu kuingilia uchaguzi wa nchi hiyo.
Jeshi la UPDF na polisi nchini Uganda wamewaruhusu wanasheria wa waliokuwa wa mgombea wa kiti cha urais Robert Kyagulany [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.