Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefutilia mbali azimio kuhusu vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Iran kuhusiana na suala la nyuklia. Azimio hilo lililowasilishwa na Marekani, lililenga kurefusha bila kikomo vikwazo vya silaha dhidi ya Iran.
Add a commentMgombea wa urais wa chama cha Democratic Joe Biden amemtaja Seneta Kamala Harris kama mgombea mwenza-akiwa ni mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kugombea wadhifa huo.
Add a commentMwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ameshutumiwa kwa kutuma mamluki nchini Canada ili kumuua aliyekuwa afisa wa ujasusi wa Saudi.
Add a commentRais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameitisha kikao na baraza la ulinzi nchini mwake kufuatia Shambulio la Koure nchini Niger.
Add a commentMitandao ya kijamii Facebook na Twitter imemuadhibu Rais Donald Trump na kampeni yake kwa kutuma ujumbe ambapo rais huyo alidai watoto ''wanakaribia kuwa na kinga kamili'' ya virusi vya corona.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.