Star Tv

Mwandishi na Mpiga picha wa gazeti la Times Marcus Yam, amekuwa akisimulia tukio aliloshuhudia karibu na uwanja wa ndege wa Kabul siku ya Jumanne.

Yam amesema alishuhudia makumi ya watu wa Taliban wakipiga risasi hewani, na silaha zao zikilenga umati wa watu. Aidha walitumia vitu kama vile fimbo, kamba na njia zingine kuwapiga raia.

Picha za ugofya zilizonaswa zinaonyesha mwanamke mmoja aliumizwa na mtoto mdogo akaachwa akiwa anatoka damu kutokana na kile kinachoonekana kuwa jeraha la kichwa.

Yam pia aliandika kwamba yeye mwenyewe alichapwa mguuni wakati anapiga picha matukio yanayoendelea eneo hilo.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.