Star Tv

Mkuu wa kundi linalosaidia watu kutoroka Belarus amepatikana akiwa amefariki karibu na mpaka wa nchi jirani ya Ukraine.

Mwili wa Vitaly Shishov ulipatikana katika bustanimoja mjini Kyiv, siku moja baada kukosa kurejea nyumbani kutoka mazoezini. Polisi wameanzisha uchunguzi wa mauaji.

Polisi pia imeanzisha uchunguzi ikiwa aliuawa au kifo chake kilipangwa kuonekana kana kwamba amejitoa uhai.

Bw. Shishov amekuwa akiongoza Belarus nchini Ukraine, kusaidia wale ambao wametoroka Belarus baada ya msako mkali.

Ukraine, Poland na Lithuania ndio nchi ambazo zinapendelewa sana kufuatia.

#ChanzoBBCSwahili

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.