Star Tv

Serikali ya Ujerumani hii imesema itawakuchukulia hatua za kisheria dhidi ya maabara zinazoshindwa kuwasilisha chanjo dhidi ya virusi vya corona kulingana na ratiba ya Umoja wa Ulaya.

Ujerumani inatishia kuchukua hatua hii huku kukiwa na wasiwasi juu ya kucheleweshwa kwa usambazaji wa chanjo za AstraZeneca.

Waziri wa uchumi wa Ujerumani Peter Altmier amsema hayo alipozungumza na gazeti la kila siku la Ujerumani la Die Welt.

Kumekuwepo na kuongezeka kwa hali ya wasiwasi katika wiki za hivi karibuni kati ya viongozi wa Ulaya na kampuni kubwa ya madawa ya AstraZeneca, ambayo imesema haitaweza kuwasilisha kiwango cha chanjo ilichokiahidi kwa Umoja huo hatua iliyozua mzozo huku baadhi ya mataifa kama Italia yakiahidi kuichukulia hatua za kisheria.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.