Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezungumzia vurugu zilizotokea Marekani baada ya wafuasi wa Rais Donald Trump kuvamia jengo la bunge Capitol Hill.
Add a commentKampuni ya mafuta ya Total imewaondoa maelfu ya wafanyakazi wake katika visima vya mafuta vilivyopo Kaskazini mwa Msumbiji.
Add a commentUmoja wa Mataifa umesema kuwa umefanikiwa kuukomboa mji wa Bambari nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati ambao ulikuwa umetekwa na waasi siku ya Jumanne.
Add a commentWaziri anayesimamia maafisa wa polisi Bwana Bheki Cele ameionya migahawa ya Afrika Kusini kuacha kuuza pombe kwa kutumia vikombe vya chai
Add a commentRais wa zamani wa Burundi Pierre Buyoya amefariki dunia. akiwa na umri wa miaka 71 ,binamu yake na chanzo cha kidiplomasia chathibitishia BBC.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.