Takriban watu 33 wamefariki na wengine 26 kujeruhiwa baada baadhi ya mabehwa ya treni waliyokuwa wameipanda kushika moto katika eneo la Lualaba, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Add a commentMshindi wa tuzo ya Oscar kutoka Kenya Lupita Nyongo ametuma ujumbe wake katika mtandao wa Twitter......
Add a commentLeo Jumatatu Rais wa Cameroon Paul Biya, anaadhimisha miaka 35 uongozini na kumfanya kuwa Rais aliyehudumu kwa miaka mingi zaidi barani Afrika.
Add a commentAliyekuwa makamu wa rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ambaye alifutwa kazi siku ya Jumatatu amelitoroka taifa hilo kufuatia vitisho vya kifo , kulingana na washirika wake.
Add a commentMke wa rais wa Zimbabwe Grace Mugabe ametoa wito akitaka makamu wa rais mwenye ushawishi kutimuliwa kutoka kwa chama cha Zanu-PF, kabla ya mkutano wake wa mwezi ujao, kwa mujibu wa gazeti la Herald.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.