Watawala wa kijeshi wa Sudan na viongozi wa vuguvugu la maandamano wamekubaliana juu ya kuundwa kwa utawala wa mpito wa miaka mitatu, ambao utakabidhi madaraka kamili kwa raia.
Add a commentWatawala wa kijeshi wa Sudan na viongozi wa maandamano wameanza tena leo mazungumzo juu ya kukabidhi madaraka kwa serikali ya kiraia baada ya siku kadhaa za mkwamo katika majadiliano. Viongozi wa maandamano Omar al-Digeir na Satea al-Haj ni miongoni mwa wanaohudhuria mazungumzo hayo kwa niaba ya vuguvugu la Allance for Freedom and Change.
Add a commentIdadi ya watu waliofariki dunia kutokana na ajali ya boti katika Ziwa Kivu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefikia 40, kufuatia kupatikana kwa maiti nyengine 27 jana Jumamosi.
Add a commentUmoja wa Mataifa umeionya Msumbiji kwamba huenda mvua kubwa na upepo mkali unaovuma vikasababisha mafuriko katika siku zijazo wakati ambapo kimbunga Kenneth kinasonga taratibu katika maeneo ya ndani ya nchi hiyo.
Add a commentRaia wa Misri wanapiga kura ya maoni leo inayolenga kumpa nguvu zaidi Rais Abdel Fattah al-Sisi.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.