Kulingana na matokeo rasmi ya awali yaliyotangazwa usiku wa Jumapili kuamkia leo Jumatatu na Tume huru ya taifa ya uchaguzi, Faure Essozimna Gnassingbé amechaguliwa tena kwenye muhula wa nne kama rais wa Togo.
Add a commentSerikali ya umoja wa kitaifa nchini Libya (GNA) yenye makao yake makuu Tripoli, inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa, imetangaza usiku wa tarehe 18 kuamkia 19 Februari kwamba imesitisha ushiriki wake katika mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea huko Geneva.
Add a commentUchaguzi wa Bunge nchini Ethiopia ambao awali ulikuwa umepangwa kufanyika baina ya mwezi Mei na Juni, sasa utafanyika mwezi Agosti mwaka huu.
Add a commentCyril Ramaphosa rais wa Afrika Kusini amekabidhiwa kijiti cha uongozi wa Umoja wa Afrika kama rais wa umoja wa nchi za Afrika kwa kipindi cha mwaka mmoja kutoka kwa rais wa Misri Abdel Fattah al sisi, katika mkutano wa Umoja huo uliofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia.
Add a commentWatoto 26 wamekufa katika ajali ya moto uliounguza shule moja ya Kiislamu karibu na mji mkuu wa Liberia, Monrovia.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.