Leo Jumatatu Rais wa Cameroon Paul Biya, anaadhimisha miaka 35 uongozini na kumfanya kuwa Rais aliyehudumu kwa miaka mingi zaidi barani Afrika.
Add a commentMke wa rais wa Zimbabwe Grace Mugabe ametoa wito akitaka makamu wa rais mwenye ushawishi kutimuliwa kutoka kwa chama cha Zanu-PF, kabla ya mkutano wake wa mwezi ujao, kwa mujibu wa gazeti la Herald.
Add a commentSerikali ya Burundi imepiga marufuku upigaji wa ngoma katika mikutano isiokuwa rasmi ikiwemo sherehe za kitamaduni na harusi katika jaribio la kuhifadhi mila hiyo ya zamani ambayo inajuliakana kimataifa.
Add a commentTume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018.
Add a commentShirika la haki za binadamu la Amnesty International limeikosoa mahakama ya kijeshi nchini Cameroon kwa kumhukumu kiongozi mmoja wa upinzani miaka 25 jela kwa makosa ya kuchochea uasi.
Add a commentWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu alitangaza baraza jipya la Mawaziri katika hatua ambayo inaimar [ ... ]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu.
Wasafiri wanaoelekea Ireland kutoka Kenya watalazimika kujitenga kwa wiki mbili baada ya kuwasili katika nchi hiyo ya ba [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.