Wananchi wa Kenya wanaendelea kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Daniel Arap Moi, aliyefariki dunia wiki iliyopita ambapo leo ni siku ya tatu na ya mwisho tangu wananchi wa Kenya waanze kutoa heshima kwa kiongozi wao.
Add a commentWanafunzi saba wamekufa na wengine 57 wamejeruhiwa baada ya jengo la darasa moja kuanguka katika shule moja ya msingi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
Add a commentBunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, limepitisha azimio la kutaka kupitishwa kwa sheria ya kupiga marufuku utengenezaji na uingizwaji wa sabuni na vipodozi vyenye viambata vya sumu
vinavyodaiwa kuathiri afya za watumiaji hususani wanawake.
Uganda imeachana na mradi wa kujenga bwawa la kufua umeme katika maporomoko ya maji ya Marchison.
Add a commentWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), akila kiapo cha utii mbele ya Bunge la Afrika Mashariki kama Waziri anayeshughulikia masuala ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania. Tukio hilo ambalo limefanyika kwenye Makao Makuu ya Bunge la Afrika Mashariki jijiji Arusha limeshuhudiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro na Spika wa Bunge hilo, Mhe. Martin Ngoga.
Add a commentRwanda leo inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 25 ya mauaji ya Kimbari ambapo watu wapatao 800,000 hasa wa kabila la Watutsi waliuawa. Wajumbe kadhaa wa Kimataifa waliwasili jana Jumamosi katika mji mkuu, Kigali kwa ajili ya kuhudhuria kumbukumbu ya mauaji hayo ya Kimbari.
Add a commentWatu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo, kufuatia mvua kubwa zilizosababisha maporomoko ya udongo katika wilaya ya Bududa mashariki mwa Uganda.
Add a commentBunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limepitisha azimio la kulitaka Baraza la Mawaziri la jumuiya hiyo, kusimamia kikamilifu utekelezaji wa mkataba wa uanzishwaji Soko la pamoja uliopitishwa kwa pamoja na nchi hizo......
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.