Star Tv

Mpenzi wa mwanariadha wa Kenya Agnes Tirop, amefikishwa mahakamani kama mshukiwa wa mauaji ya mwanariadha wa Kenya Agnes Tirop.

Hakimu amesema atawaruhusu polisi kumzuia Ibrahim Rotich kwa siku 20, wakati ambao pia atafanyiwa uchunguzi wa kiakili kubaini ikiwa anaweza kufunguliwa mashtaka.

Bwana Rotich alikamatwa wiki iliyopita mjini Mombasa Pwani ya Kenya na polisi wamearifu kuwa alikuwa akijaribu kutoroka nchini.

Agnes Tirop alipatikana akiwa ameuawa kwa kuchomwa kisu nyumbani kwake magharibi mwa Kenya.

Latest News

SHAMBULIO LA KUJITOA MHANGA LAUA WATU NANE SOMALIA.
25 Nov 2021 10:26 - Grace Melleor

Polisi nchini Somalia wamethibitisha vifo vya raia katika bomu lililotegwa ndani ya gari katika mji mkuu Mogadishu, tele [ ... ]

WAZIRI MKUU SWEDEN AJIUZULU SAA CHACHE BAADA YA KUTEULIWA.
25 Nov 2021 09:01 - Grace Melleor

Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke kuwahi kushikilia wadhifa huo nchini Sweden amejiuzulu saa chache mara baada ya kuteuliwa [ ... ]

MTOTO WA GADDAFI AZUIWA KUGOMBEA URAIS LIBYA.
25 Nov 2021 07:13 - Grace Melleor

Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Libya hayati Muammar Gaddafi ameenguliwa katika kinyang’anyiro cha kuwania uchaguzi wa  [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.