Star Tv

Mapigano ‘makali’ kati ya wanajeshi wa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo na wasi wa M23 katika eneo la Rutshuru yameendelea kwa siku ya sita ambapo imethibitishwa kuwa eneo la Ntamugenga limetekwa na M23.

Jumapili mapigano yalifanyika katika mji mdogo wa Ntamugenga uliopo umbali wa kilomita 15 kutoka Rutshuru.

Hapo jana Jumatatu, vyombo vya habari vya DRC vilimnukuu Msemaji wa jeshi ya Congo Luteni Jenerali Guillaume Njike Kaiko akithibitisha kuwa eneo hilo limetekwa na wapiganaji wa M23.

#ChanzoBBC

Latest News

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Urusi Kuchagiza Maendeleo Afrika kupitia Nishati ya Nuklia na Madini ya Urani
12 Aug 2023 10:07 - Kisali Shombe

ROSATOM, taasisi ya nishati ya nyuklia ya serikali ya Urusi ambayo iliwaalika zaidi ya waandishi wa habari 15 kutoka nch [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2023 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.