Star Tv

Siku chache Baada ya CCM kushauri serikali kufuta tozo, pamoja na kelele za muda mrefu za Wananchi kuhusu tozo, Waziri wa Fedha na Mipango Dokta Mwigulu Nchemba ametangaza kufuta baadhi ya Tozo.

Tozo zilizofutwa ni pamoja na Miamala ya ndani ya Benki, Tozo ya kuhamisha Fedha kutoka Benki kwenda Mitandao ya simu, Miamala ya Benki Moja na nyingine na Miamala ya ATM isiyozidi Tsh. 30,000.

Vilevile Dkt. Nchemba amesema Serikali imepunguza kwa 10% - 50% Makato ya Miamala ya Simu na Miamala ya Benki kutegemea na makundi ya Miamala na Gharama zilizowekwa.

Aidha marekebisho hayo yataanza rasmi Tarehe ya kwanza ya mwezi Oktoba Mwaka huu wa 2022.

Latest News

MUHUDUMU MWINGINE AFARIKI KWA EBOLA UGANDA.
05 Oct 2022 12:44 - Grace Melleor

Wizara ya afya nchini Uganda imethibitisha kifo cha mhudumu mwingine wa afya, ambaye amefariki alfajiri ya leo Jumatano. [ ... ]

KIONGOZI MKUU WA IRAN AILAUMU MAREKANI NA ISRAEL.
04 Oct 2022 14:14 - Grace Melleor

Kiongozi mkuu wa Iran amezilaumu Marekani na Israel kwa kuchochea maandamano yaliyoenea nchini humo kufuatia kifo cha mw [ ... ]

WAHITIMU 1,384,340 KUANZA MTIHANI.
04 Oct 2022 13:56 - Grace Melleor

Jumla ya watahiniwa 1,384,340 wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika Oktoba tano na sita  [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2022 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.