Star Tv

Mapigano mapya yameibuka mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo katika jimbo la Kivu Kaskazini Mapema asubuhi ya leo Jumatano.

Vyanzo vya habari vinasema kuwa vikosi vya serikali vinapigana kuchukua tena vijiji katika eneo la Rutshuru, ambalo kwa sasa linadhibitiwa na waasi wa M23.

Mkazi wa mji wa mpakani wa Bunagana ameiambia BBC kwamba wamesikia milio ya silaha nzito kwa umbali.

M23 walitangaza usitishaji wa mapigano tarehe Aprili moja, ili kutoa fursa ya mazungumzo na serikali.

Viongozi wa kikanda walitarajiwa kukutana kwa ajili ya mazungumzo ya amani mwishoni mwa juma hili.

Latest News

AMPELEKA MKWE MAHAKAMANI KWA KUMZUIA KUOLEWA.
17 May 2022 06:34 - Grace Melleor

Binti aliyefahamika kwa jila la Halima Yunusa Ibrahim amempeleka babamkwe wake latika Mahakama ya Kiislamu Islamic (Shar [ ... ]

WANAJESHI WA UKRAINE WALIOZINGIRWA WALIOKOLEWA.
17 May 2022 05:50 - Grace Melleor

Ukraine imethibitisha kwamba mamia ya wapiganaji wake waliokuwa wamekwama kwa zaidi ya miezi miwili katika mji wa Maurip [ ... ]

JESHI LA NATO KUANZA KUFANYA MAZOEZI KUKABILI VITA.
16 May 2022 09:23 - Grace Melleor

Mazoezi makubwa zaidi katika historia ya Baltics ya Muungano wa kijeshi wa NATO yanatarajiwa kuanza baadaye hii leo.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2022 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.