Star Tv

Vikosi vya Urusi vimeelekeza nguvu zao kuu katika operesheni "ya uchokozi" inayolenga kuweka udhibiti kamili wa mikoa ya Donetsk na Luhansk, Mkuu wa jeshi la Ukraine amesema katika taarifa yake ya kila siku.

Pia kumekuwa na mashambulizi ya mara kwa mara katika maeneo ya mashariki mwa nchi, lakini bila mafanikio, taarifa hiyo iliongeza.

Vikosi vya Urusi pia vinaendelea na juhudi za kuvamia Mariupol, mojawapo ya miji iliyoshambuliwa kwa mabomu na kuharibiwa vibaya zaidi nchini Ukraine.

Wanajeshi wa Ukraine wamekuwa wakizuia mashambulizi dhidi ya jiji hilo kwa zaidi ya siku arobaini, taarifa hiyo ilisema.

Pia inadai kuwa Urusi inaendelea kutumia kikamilifu risasi zilizopigwa marufuku na sheria za kimataifa.BBC imeshindwa kuthibitisha hili kwa njia huru.

#ChanzoBBC

Latest News

AMPELEKA MKWE MAHAKAMANI KWA KUMZUIA KUOLEWA.
17 May 2022 06:34 - Grace Melleor

Binti aliyefahamika kwa jila la Halima Yunusa Ibrahim amempeleka babamkwe wake latika Mahakama ya Kiislamu Islamic (Shar [ ... ]

WANAJESHI WA UKRAINE WALIOZINGIRWA WALIOKOLEWA.
17 May 2022 05:50 - Grace Melleor

Ukraine imethibitisha kwamba mamia ya wapiganaji wake waliokuwa wamekwama kwa zaidi ya miezi miwili katika mji wa Maurip [ ... ]

JESHI LA NATO KUANZA KUFANYA MAZOEZI KUKABILI VITA.
16 May 2022 09:23 - Grace Melleor

Mazoezi makubwa zaidi katika historia ya Baltics ya Muungano wa kijeshi wa NATO yanatarajiwa kuanza baadaye hii leo.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2022 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.