Star Tv

Ukraine imesema inajiandaa kwa vita vya kemikali vinavyoweza kutokea kwa usaidizi wa taifa la Marekani.

Imeripotiwa kuwa Marekani imekuwa ikituma vifaa vya kinga (PPE) kwa Ukraine kwa ombi la nchi hiyo ili kujiandaa kwa shambulio lolote la silaha za kemikali wakati wa vita.

Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Rais Joe Biden amethibitisha kwamba "vifaa vya kuokoa maisha" vimetumwa.

Vifaa hivyo vya PPE vinadhaniwa kujumuisha barakoa za gesi, suti za hazmat na vifaa vingine.
Moscow na imekuwa ikirushiana tuhuma katika wiki za hivi karibuni kwamba silaha za kemikali na silaha za kibaiolojia zinaweza kutumwa.

Aidha, Maafisa wa Marekani wanahofia kuwa Urusi inaweza kuwa inapanga operesheni ya uongo ya bendera kuhusu matumizi ya silaha hizo.

#ChanzoBBC

Latest News

AMPELEKA MKWE MAHAKAMANI KWA KUMZUIA KUOLEWA.
17 May 2022 06:34 - Grace Melleor

Binti aliyefahamika kwa jila la Halima Yunusa Ibrahim amempeleka babamkwe wake latika Mahakama ya Kiislamu Islamic (Shar [ ... ]

WANAJESHI WA UKRAINE WALIOZINGIRWA WALIOKOLEWA.
17 May 2022 05:50 - Grace Melleor

Ukraine imethibitisha kwamba mamia ya wapiganaji wake waliokuwa wamekwama kwa zaidi ya miezi miwili katika mji wa Maurip [ ... ]

JESHI LA NATO KUANZA KUFANYA MAZOEZI KUKABILI VITA.
16 May 2022 09:23 - Grace Melleor

Mazoezi makubwa zaidi katika historia ya Baltics ya Muungano wa kijeshi wa NATO yanatarajiwa kuanza baadaye hii leo.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2022 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.