Star Tv

Mwendesha mashtaka wa umma nchini Uganda ameondoa kesi dhidi ya kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine.

Mwanasiasa huyo alikuwa ameshutumiwa kwa kutoa maelezo ya uongo kuhusu umri wake alipokuwa akisajiliwa kupata diploma katika Chuo Kikuu cha Makerere.

Bobi Wine ambaye ni mkosoaji mkubwa wa Rais Museven hapo awali aliwahi kutiliwa shaka vyeti vyake vya kitaaluma.

Aligombea dhidi ya Rais Yoweri Museveni ambaye anaiongoza Uganda muda mrefu katika uchaguzi wa mwaka jana ambapo alilalamikia kuwa uchaguzi huo uligubikwa na udanganyifu mkubwa.

#ChanzoBBCSwahili

Latest News

AMPELEKA MKWE MAHAKAMANI KWA KUMZUIA KUOLEWA.
17 May 2022 06:34 - Grace Melleor

Binti aliyefahamika kwa jila la Halima Yunusa Ibrahim amempeleka babamkwe wake latika Mahakama ya Kiislamu Islamic (Shar [ ... ]

WANAJESHI WA UKRAINE WALIOZINGIRWA WALIOKOLEWA.
17 May 2022 05:50 - Grace Melleor

Ukraine imethibitisha kwamba mamia ya wapiganaji wake waliokuwa wamekwama kwa zaidi ya miezi miwili katika mji wa Maurip [ ... ]

JESHI LA NATO KUANZA KUFANYA MAZOEZI KUKABILI VITA.
16 May 2022 09:23 - Grace Melleor

Mazoezi makubwa zaidi katika historia ya Baltics ya Muungano wa kijeshi wa NATO yanatarajiwa kuanza baadaye hii leo.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2022 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.