Star Tv

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ilorin nchini Nigeria amezuiliwa na polisi baada ya shutuma za kumpiga mhadhiri wa kike.

Polisi wanasema mwanafunzi huyo alikuwa ameenda kumuona msimamizi kuhusu kazi yake ya mwaka wa mwisho wa mradi ndipo walipofikia hatua ya kuoelewana kulipotokea.

Inadaiwa alimvamia mhadhiri huyo ambaye alipata jeraha kichwani na kuzimia.

Mhadhiri huyo amelazwa katika hospitali isiyojulikana huku mwanafunzi huyo akizuiliwa na polisi.

Msemaji wa chuo hicho Kunle Akogun alithibitisha kisa hicho katika taarifa iliyowasilishwa kwa vyombo vya habari siku ya Jumapili, Ambapo amebainisha pia Mhadhiri huyo anaendelea kupata nafuu.

Latest News

SHAMBULIO LA KUJITOA MHANGA LAUA WATU NANE SOMALIA.
25 Nov 2021 10:26 - Grace Melleor

Polisi nchini Somalia wamethibitisha vifo vya raia katika bomu lililotegwa ndani ya gari katika mji mkuu Mogadishu, tele [ ... ]

WAZIRI MKUU SWEDEN AJIUZULU SAA CHACHE BAADA YA KUTEULIWA.
25 Nov 2021 09:01 - Grace Melleor

Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke kuwahi kushikilia wadhifa huo nchini Sweden amejiuzulu saa chache mara baada ya kuteuliwa [ ... ]

MTOTO WA GADDAFI AZUIWA KUGOMBEA URAIS LIBYA.
25 Nov 2021 07:13 - Grace Melleor

Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Libya hayati Muammar Gaddafi ameenguliwa katika kinyang’anyiro cha kuwania uchaguzi wa  [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.