Star Tv

Wanafunzi zaidi waliokua wametekwa kaskazini mwa Nigeria wameachiwa huru baada ya kikombozi kilipwa.

Wanafunzi 10 waliachiliwa siku ya Jumapili, kulingana na chama kimoja cha Kikristo katika eneo hilo, Huku wanafunzi 11 bado wako mikononi mwa watekaji.

Mkuu wa chama hicho Joseph Hayab, amesema wanashughulikia mpango wa kuhakikisha wanafuzi walisalia wanaachiliwa huru.

Wanafunzi 121 kutoka shule ya upili ya Bethel walitekwa Tarehe 5 Julai katika jimbo la Kaduna kaskazini mwa Nigeria.

Watekaji nyara watatu walikamatwa na polisi na kuoneshwa hadharani wiki iliyopita.

Utekaji nyara wa shule umekuwa ukiongezeka nchini Nigeria, huku watekaji nyara wakidai mamilioni ya pesa za Nigeria katika malipo ya fidia.

Latest News

UFARANSA YAZINDUA MAGARI YA UMEME HAPA NCHINI.
20 Oct 2021 15:31 - Grace Melleor

Waziri wa Biashara na uchumi nchini Ufaransa Franck Riester amezindua magari ya umeme yaliyoundwa na kampuni ya E-Motion [ ... ]

UHITAJI WA NYAMA WAONGEZEKA NCHINI.
20 Oct 2021 15:23 - Grace Melleor

Serikali imesema malalamiko yaliyojitokeza hivi karibuni ya kupanda kwa bei ya nyama nchini yanaashiria ukuaji wa sekta  [ ... ]

UGANDA YAZINDUA GARI LA KIVITA LILILOUNDWA NCHINI HUMO.
19 Oct 2021 18:03 - Grace Melleor

Jeshi la Uganda limezindua gari la kivita lililoundwa nchini humo.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.