Star Tv

Waziri wa ulinzi wa Uingereza Ben Wallace amesema si kweli kwamba waziri mkuu Boris Johnson alisema hatajali kuona mrundikano wa maelfu ya miili ya watu na kamwe hataagiza awamu ya tatu ya kufunga shughuli za umma nchini humo.

Gazeti la Daily Mail la Uingereza limearifu hayo hii leo, Ambapo limesema Johnson alisikika akisema hayo kwenye mkutano uliofanyika mwezi Oktoba katika ofisi yake iliyoko Downing Street.

Alipoulizwa na kituo cha utangazaji cha Sky News kuhusiana na matamshi hayo ya Johnson, Wallace alisema sio ya kweli ingawa hatua hiyo ya kufunga shughuli inapingwa na kila mtu na kuongeza kuwa Johnson alikuwa akiangazia namna ya kushughulikia janga la COVID-19.

Latest News

“TUTAJIRIDHISHA KABLA YA KUKUBALI CHANJO YA CORONA”- Rais Samia.
14 May 2021 18:24 - Grace Melleor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kabla ya kupokea chanjo ya virusi vya Corona ni lazi [ ... ]

SOMALIA YATANGAZA KUREJESHA UHUSIANO NA KENYA.
06 May 2021 17:57 - Grace Melleor

Somalia imetangaza kuwa inarejesha mahusiano ya kidiplomasia na nchi jirani ya Kenya baada ya kusitisha mahusiano hayo m [ ... ]

KENYA NA TANZANIA KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA.
05 May 2021 15:39 - Grace Melleor


Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kuwapokea wawekezaji kutoka Kenya pamoja na kuondoa vikwazo visivy  [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.