Star Tv

Rais Samia Suluhu Hassani amewaapisha mawaziri na manaibu waziri aliowateua.

Rais Samia amewaapisha Mawaziri hao pamoja na Manaibu Waziri katika ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.

Akiongea katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, wakati wa kuwaapisha Mawaziri walioteuliwa Rais Samia amesema kuwa sio jambo la busara wanaisasa kuanzisha kampeni za mapema.

"Nafahamu 2025 iko karibu na kawaida yetu Watanzania ama kote ulimwenguni inapoingia kipindi cha pili cha rais aliyepo watu kidogo mnakuwa  na lile na hili kuelekea mbele..nataka kuwaambia acheni"-Alisema Rais Samia.

Aidha Rais Samia amewataka Mawaziri hao kufanya kazi kwa ushirikiano hasa katika masuala yanayohusu muungano kwani  serikali ni moja.

Mawaziri hawalioapishwa leo ni kutokana na mabadiliko ambayo yamefanywa na Rais Samia Machi 31. 

 

Latest News

ZUMA ATAKIWA KUCHAGUA ADHABU KWA KUDHARAU MAHAKAMA.
14 Apr 2021 17:55 - Grace Melleor

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma ametakiwa mpaka kufikia Jumatano awe amependekeza adhabu ambayo mahakama kuu  [ ... ]

RAIS TSHISEKEDI ADHIBITI BARAZA LAKE JIPYA LA MAWAZIRI.
13 Apr 2021 18:22 - Grace Melleor

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu alitangaza baraza jipya la Mawaziri katika hatua ambayo inaimar [ ... ]

MALIPO YA NDEGE MPYA TATU YAKAMILIKA.
13 Apr 2021 18:04 - Grace Melleor


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.