Star Tv

Dr Philip Mpango amekula kiapo leo kuwa makamu wa Rais wa Tanzania, Hafla ya kuapishwa kwa Mhe. Dkt. Mpango imefanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma.

Sanjari na uapisho huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe; Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri ili kuimarisha utendaji kazi huku akimteua kuwa mbunge aliyekuwa katibu mkuu Kiongozi Dr Bashiru Ally, mhe, Mbarok Mbarouk na mhe, Libelata Mulamula.

Mawaziri wengine waliobadilishiwa majukumu ni Dr Mwigulu Nchemba kuwa waziri wa Fedha, Mawaziri waliofanyiwa mabadiriko wanatarajiwa kuapishwa April Moja, Chamwino Ikulu.

 

 

 

Latest News

RAIS WA UKRAINE AAMURU RAIA WOTE KUHAMA MKOA WA DONETSK.
31 Jul 2022 17:17 - Grace Melleor

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameamuru raia wote ambao bado wanaishi katika maeneo ya mashariki mwa mkoa wa Donetsk [ ... ]

KIFO CHA RAIA WA NIGERIA NCHINI ITALIA CHAZUA HASIRA.
31 Jul 2022 16:58 - Grace Melleor

Kifo cha mhamiaji aliyeshambuliwa mchana kweupe nchini Italia kimezua hasira.

VUTA N’KUVUTE YA MANARA NA KATIBU WA TFF YAIBUKA.
25 Jul 2022 16:37 - Grace Melleor

Katibu Mkuu wa Shrikishi la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesema amesekitishwa na madai ya yaliyekuwa Af [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2022 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.