Star Tv

Mahakama ya Kimataifa ya Kesi za Jinai (ICC) leo Machi 30,2021 inatarajiwa kuamua rufaa iliyowasilishwa mbele yake na kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Kidemorasia ya Congo, Bosco Ntaganda, kupinga hukumu ya uhalifu wa kivita dhidi yake.

Kamanda huyo wa zamani, aliyepewa jina la utani la 'The Terminator', alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela mwaka 2019 baada ya kupatikana na hatia ya makosa 18 ikiwemo mauaji, ubakaji na kutumia watoto kamawanajeshi.

Alikuwa mtu wa kwanza kushtakiwa na mahakama hiyo kwa tuhuma ya utumwa wa kingono.

Mashtaka hayo yalihusisha uhalifu uliotekelezwa katika eneo la Ituri lenye utajiri wa madini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 2002 na 2003.

Aidha, Waendesha mashtaka wanaomba majaji kutoa adhabu kali zaidi.

Latest News

RAIS TSHISEKEDI ADHIBITI BARAZA LAKE JIPYA LA MAWAZIRI.
13 Apr 2021 18:22 - Grace Melleor

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatatu alitangaza baraza jipya la Mawaziri katika hatua ambayo inaimar [ ... ]

MALIPO YA NDEGE MPYA TATU YAKAMILIKA.
13 Apr 2021 18:04 - Grace Melleor


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu.

WASAFIRI KUTOKA KENYA KUINGIA KARANTINI KWANZA IRELAND.
12 Apr 2021 13:43 - Grace Melleor

Wasafiri wanaoelekea Ireland kutoka Kenya watalazimika kujitenga kwa wiki mbili baada ya kuwasili katika nchi hiyo ya ba [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.