Star Tv

Featured News

WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA AAMURU MASHAMBULIO DHIDI YA MJI WA MEKELLE.
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema ameanzisha "awamu ya mwisho" ya operesheni ya kijeshi katika jimbo la Tigray kwanza kushambulia mji mkuu wa jimbo hilo, Mekelle.
WAZIRI MKUU MSTAAFU WA SUDAN AFARIKI KWA CORONA.
Waziri Mkuu wa zamani wa Sudan, Sadiq al-Mahdi amefariki dunia kutokana na virusi vya corona.
UAE YASITISHA UTOAJI VIZA KWA WAKENYA NA MATAIFA MENGINE 12 YA KIISLAMU.
Umoja wa Falme za Kiarabu, (UAE) umesitisha utoaji viza kwa Wakenya na mataifa mengine 12 ya Kiislamu
 BIDEN TAYARI AANZA KUFANYA UTEUZI WA MAWAZIRI WAKE KABLA YA KUAPISHWA.
Rais Mteule nchini Marekani kupitia Chama cha Demokrats amemteua Anthony Blinken kuwa Waziri wa mambo ya nje.
WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA AAMURU MASHAMBULIO DHIDI YA...
WAZIRI MKUU MSTAAFU WA SUDAN AFARIKI KWA CORONA....
UAE YASITISHA UTOAJI VIZA KWA WAKENYA NA MATAIFA...
BIDEN TAYARI AANZA KUFANYA UTEUZI WA MAWAZIRI...

Recent News

WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA AAMURU MASHAMBULIO DHIDI YA MJI WA MEKELLE.

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema ameanzisha "awamu ya mwisho" ya operesheni ya kijeshi katika jimbo la Tigray kwanza kushambulia mji mkuu wa jimbo hilo, Mekelle

Waziri Abiy amesema wanajeshi watajaribu wasiwajeruhi raia na ametoa wito kwa watu katika mji huo kusalia majumbani mwao

Hatua hilo inajiri baada ya muda wa mwisho uliyotolewa kwa wapiganaji wa Tigray kujisalimisha kumalizika siku ya Jumatano

Chama cha TPLF, ambacho kinadhibiti mji wa Mekelle, kimeapa kuendelea na mapigano

Aidha, mamia ya watu wameripotiwa kuuawa na maelfu ya wengine kutoroka makwao huku vikosi vya

Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star TV - Live Stream

Youtube Channel

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.