Star Tv

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dokta Ali Mohammed Shein amewataka mawaziri wanaoshiriki mkutano wa kwanza wa SADC kuhakikisha wanapitisha mikakati imara itakayoweza kuondoa ama kupunguza madhara ya majanga.

Taarifa na Abdalla Pandu.

Add a comment

 

Baadhi ya waumini wa kanisa la  Anglikana Dayosisi ya Zanzibar  wamesema hawana imani na uongozi wa Askofu wao Michael Hafidh kwa kile walichodai kuwa matendo yake  hayaendani na sifa za cheo alichonachoikiwemo suala la  ubadhrifu .

Taarifa na Abdalla Pandu-Zanzibar.

Add a comment

 

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.Vincent Mashinji ametangaza rasmi kuondoka kwenye chama.hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi leo February 18, 2020 ambapo amepokelewa na katibu wa itikadi na uenezi wa chama tawala cha Cha Mapinduzi  Humphrey Polepole katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba Dar.

Add a comment

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa ahadi ya kuwaajiri madaktari 1000 katika vituo vya afya pamoja na hospitali zilizopo nchini.

Add a comment

 

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, Zitto Kabwe amekutwa na kesi ya kujibu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Add a comment

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya awamu ya saba itakamilisha ujenzi wa kiwanda cha Mwani kisiwani Pemba kama ilivyowaahidi wananchi wake.

Add a comment

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohamed Shein amesisitiza umuhimu wa kutazama upya sheria zinazosimamia mwenendo wa usalama wa chakula nchini ili kuondoa malalamiko ya wafanyabiashara.

Add a comment

Wakazi wa mkoa wa Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa za utamaduni zilizopo katika maeneo yao ili kuendeleza utalii kwa kuinua uchumi na kuboresha hali ya maisha ya wananchi wa eneo hilo.

 Taarifa na Stellah Joseph

Add a comment

Jeshi la Polisi Nchini limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 504 wa matukio mbalimbali ya uhalifu akiwemo Mganga wa kienyeji Itawa Mwanamiwa na mwenzake Tabu Mwanduru ambao waliwaaminisha watu kuua Wanawake 50 na kuwabaka ili kupata utajiri hali iliyopelekea Wanawake 29 kuuwawa na kubakwa katika maeneo ya Wilaya za Kwimba,Misungwi na Mkoa wa Shinyanga.

Taarifa na Salma Mrisho

Add a comment

Latest News

ZANZIBAR YAFUNGUA MILANGO KWENYE UTALII.
06 Jun 2020 10:30 - Grace Melleor

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeruhusu kuanzia leo safari za ndege za kitalii kuwasili nchini baada ya mambukizi ya [ ... ]

UFARANSA YATANGAZA KIFO CHA KIONGOZI WA AL-QAEDA.
06 Jun 2020 08:27 - Grace Melleor

Waziri wa Jeshi wa Ufaransa Florence Parly ametangaza kifo cha kiongozi wa al-Qaeda katika ukanda wa Maghreb (Aqmi) Abde [ ... ]

MZOZO WA SERIKALI YA LIBYA NA HAFTARI WAENDELEA KUSHIKA KASI.
06 Jun 2020 07:20 - Grace Melleor

Serikali ya Libya yadai kuuteka mji muhimu kutoka kwa hasimu wake Khalifa Haftar.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.