Star Tv

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameaagiza shule za awali, msingi na sekondari kufungwa pamoja ratiba ya mitahani ya kidato cha sita ambao wanatakiwa kufanya mitihani tarehe 04.05.2020 na amesema ratiba hiyo itafanyiwa marekebisho na wizara ya elimu.

Add a comment

Binadamu wa kwanza kufanyiwa jaribio la chanjo ya kinga dhidi ya virusi vya corona ameanza kufanyiwa jaribio hilo nchini Marekani.

Add a comment

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametoka katika gereza la Segerea leo jioni Ijumaa Machi 13, 2020 baada ya kukamilisha kulipa faini ya Shilingi Milioni 70.

Add a comment

Waziri wa afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amethibitisha kisa cha kwanza cha mgonjwa mwenye maambukizi ya virusi vya Corona leo Machi 16, 2020 wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Add a comment

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia  na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amelipa faini ya Shilingi milioni 70,000,000 na muda wowote kuanzia leo Ijumaa Machi 13, 2020 anatarajiwa kutoka katika gereza la Segerea.

Add a comment

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo Machi 16, 2020 amefuta mbio za Mwenge kwa mwaka huu 2020 hadi pale ugonjwa wa corona utakapoisha.

Add a comment

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ametoa tahadhari kuhusu ugonjwa unaotokana na virusi vya homa ya corona, akiwataka watanzania kuwa makini juu ya ugonjwa huu kwani janga la kimataifa ambapo mpaka sasa umegharimu maisha ya watu wengi duniani kutoka nchi tofauti.

Add a comment

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Rhoda James mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa kijiji cha Turugeti Kata ya Bumera Wilayani Tarime Mkoani Mara amefukukuzwa nyumbani kwake akiwa na mtoto mdogo wa siku sita pamoja na watoto wake wanne.

Add a comment

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ametoa shilingi milioni 38 kwa ajili ya  kumtoa Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa  wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ili atoke gerezani.

Add a comment

Latest News

ZANZIBAR YAFUNGUA MILANGO KWENYE UTALII.
06 Jun 2020 10:30 - Grace Melleor

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeruhusu kuanzia leo safari za ndege za kitalii kuwasili nchini baada ya mambukizi ya [ ... ]

UFARANSA YATANGAZA KIFO CHA KIONGOZI WA AL-QAEDA.
06 Jun 2020 08:27 - Grace Melleor

Waziri wa Jeshi wa Ufaransa Florence Parly ametangaza kifo cha kiongozi wa al-Qaeda katika ukanda wa Maghreb (Aqmi) Abde [ ... ]

MZOZO WA SERIKALI YA LIBYA NA HAFTARI WAENDELEA KUSHIKA KASI.
06 Jun 2020 07:20 - Grace Melleor

Serikali ya Libya yadai kuuteka mji muhimu kutoka kwa hasimu wake Khalifa Haftar.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.