Star Tv

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe  Magufuli ametunukiwa  shahada ya heshima ya udaktari wa falsafa katika sayansi kwenye ukumbi wa Chimwaga uliopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Add a comment

Jamii imetakiwa kuacha kuwaita watu wenye ualbino majina ya kejeli ambayo yanayowavunjiwa utu na heshima yao.

Add a comment

Waziri wa maji Profesa Makame Mbarawa amesema atawafukuza wakurugenzi wa mamlaka za maji  nchini watakaoshindwa kukusanya vyema  mapato kwani mamlaka hizo zinaendelea kuwa tegemezi kwa seriakali kutokana na uzembe

Add a comment

Jamii za makabila yanayojihusisha na vitendo vya ukeketaji mkoani Manyara zimesema ili ziondokane na mila hiyo ni vema zikapewa elimu kwa njia mbalimbali itakayosaidia kubadili fikra  kuwa, vitendo hivyo  vinafaida kwa mwanamke.

Add a comment

Wananchi wa kata tatu  za Matambalale ,Namikulo  na Namileme wilayani Ruangwa mkoani Lindi wamelipwa fidia ya zaidi ya Shilingi Bilioni 4 ili kupisha mradi mkubwa wa uchimbaji madini aina ya Bunyu

Add a comment

Umoja wa Makanisa Jijini Mwanza umeunga mkono Hatua ya serikali ya kupiga marufuku ibada  zinazoendeshwa na Diana Bundala anayejiita Mfalme Zumaridi baada ya kubainika ibada hizo zinafanyika kinyume na sheria na taratibu za nchi.

 

Ikiwa bado ni hali ya kushangaza kwa wengi waliosikia na kushuhudia Serikali ikilifungia Kanisa la Mfalme Zumalidi Jijini Mwanza ikidawa ibada na imani za kanisa hilo hazithibiti matakwa ya ukristo.

Add a comment

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya kasi i ya ujenzi wa barabara ya Bububu-Mahonda hadi Mkokotoni.

Add a comment

Wakati Jumuiya ya Afrika mashariki inaadhimisha miaka ishirini tangu kuanzishwa kwake.  inaelezwa nusu ya wakazi wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo bado ni maskini wanaoishi kwa kutegemea misaada kutoka nje .

Add a comment

Mkoa wa Simiyu umezindua mkakakati wa kuboresha taaluma kwa mwaka 2020 ili kuinua taaluma katika maeneo yote.

Add a comment

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.