Star Tv

Kampuni ya udalali ya Yono asubuhi ya leo November 9, 2017 imeifunga Hotel ya Blue Pearl iliyopo kwenye jengo la Ubungo Plaza eneo la Ubungo Jijini Dar es salaam

Kampuni ya udalali ya Yono asubuhi ya leo November 9, 2017 imeifunga Hotel ya Blue Pearl iliyopo kwenye jengo la Ubungo Plaza eneo la Ubungo kutokana na mmiliki wake kudaiwa kodi ya pango Tshs bilioni 5.7.

Mpaka muda huu baadhi ya wageni waliokuwa wako hotelini hapo wameanza kutolewa kutokana na kufungwa kwa hoteli hiyo.

Inaelezwa pia kuwa magari zaidi ya 20 yanayomilikiwa na hoteli hiyo nayo yamefungwa kutokana na mmiliki kudaiwa kodi hiyo ya pango na tayari kampuni hiyo ya udalali imekwisha anza kufuta maandishi ya ‘Blue Pearl Hotel’ kwenye mlango wa kuingilia.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.