Star Tv

Mbunge wa jimbo la Sumve maarufu kama Seneta kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Richard Mganga Ndassa amefariki dunia leo Aprili 29, 2020.

Kifo cha Mbunge Ndassa kimetangazwa na Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai ambapo mbunge huyo amefikwa na umauti leo jijini Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.

Mbunge Ndassa alikuwa bungeni kwa siku nyingi ambapo amekuwa bungeni kwa miaka 25, ambapo aliliongoza jimbo la Sumve lililoko mkoani Mwanza kwa vipindi vitano ambavyo ni (1995/2000, 2000/2005, 2005/2010, 2010/2015,  na 2015/2020).

 

Latest News

FELICIEN KABUGA KUSHTAKIWA MAHAKAMA YA UN.
03 Jun 2020 17:11 - Grace Melleor

Mahakama nchini Ufaransa imeagiza Félicien Kabuga ambaye anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya kimbari ya Rwanda kufikishwa [ ... ]

MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA SPIKA NDUGAI NA MWAMBE.
03 Jun 2020 14:49 - Grace Melleor

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wakili Paul Kaunda dhidi ya Spik [ ... ]

CHADEMA YAFUNGUA MILANGO KWA WANAOTAKA KUGOMBEA URAIS.
03 Jun 2020 14:33 - Grace Melleor

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefungua milango kwa wanachama wa chama hicho wanaotaka kugombea nafasi ya [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.