Star Tv

Viongozi wa serikali ya Tanzania na Kenya wapo katika makubaliano ya kufanya kikao cha pamoja ili kujadili namna bora ya kuhifadhi Ikolojia ya Bonde la mto Mara kutokana na umuhimu wake katika kukuza utalii uliopo katika hifadhi ya taifa ya Serengeti na Masai Mara iliyopo nchini Kenya.

Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima amezungumza katika kikao cha watendaji wa bonde hilo  amewataka kuzingatia umuhimu wa mto Mara unaoziunganisha nchi hizo mbili.Katika kuhakikisha suala hilo linakuwa endelevu katika nchi hizi mbili maazimio yaliyowekwa na wahasisi wa mataifa haya mawili  Hayati mwalimu Julius Nyerere na Hayati Jomo Kenyata unazingatia na kupewa kipaumbele. Uhifadi wa bonde la Mto Mara umekuwa ukifanyika na nchi hizi mbili Kenya na Tanzania kutokana na umuhimu wake katika ikolojia ya viumbe hai na matumizi ya kibinaadam waliopo pembezoni mwake.

 

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.