Star Tv

Wilaya ya Bukombe imetoa maazimio kwa wanunuzi wa pamba kuwa ifikapo juni 24 Kampuni itakayoshindwa  kununua vituo vyake vitakabidhiwa kwa  kampuni zitakazokuwa zimeanza ununuza wa Pamba wani Halmashauri haiko tayari kuona ikipoteza mapato.

Baada ya kuibuka kwa mjadala wa Wakulima kutorosha pamba usiku na kwenda kuuza Chato kutokana na  wanunuzi kutoanza kununua tangu msimu uanze  mwezi Mei. Makampuni Manne yaloingia mkataba na Halmashauri yameeleza sababu kubwa ya kukwama ni anguko la bei solo la dunia.

Ahadi waliyoiweka wanunuzi ni kuwa  jumatatu ijayo wataanza zoezi la ununuzi wa pamba.  Wilaya ilihamasisha Wakulima walime zao la pamba na muitikio ulikua mkubwa. Hali ya kuchelewa kuuzwa kwa pamba imesababisha baadhi ya wakulima kuuza kwa bei ya chini  wasipate athari huku  bei elekezi ya  1200. Makampuni yametakiwa kutii maagizo yaliyotolewaPamoja na hayo makampuni yameomba sasa Wilaya idhibiti utoroshaji wa Pamba usiendelee.

 

 

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.