Star Tv

Shehena ya samaki aina ya dagaa zinazokadiliwa kufikia tani elfu kumi na sita zenye thamani ya zaidi ya shiring million 38 zimekamatwa na vikosi vya udhibiti rasilimali za ziwa Victoria mkoani Mara zikiwa ndani za Boti mbili za Mv Ing’ang’a zikitoroshwa kwenda nchi jirani ya Kenya kuuzwa.

Ni shehena ya samaki aina ya dagaa yenye thamani zaidi ya shilling million 38 waliokuwa wakitaka kutoroshwa kwenda nchini Kenya kinyume cha sheria kwa kulipiwa ushuru kidogo imekamatwa na maafisa wa udhibiti rasilimali za ziwa Victoria mkoani Mara.

Akizungumzia tatizo hilo mkuu wa wilaya ya Musoma Dr Vicenty Naano amesema walibaini uwepo wa boti hizo mbili za Mv Ing’ang’a zikiwa zikiwa na mzigo huo zikitaka kuanza safari kwenda nchi jirani huku mmiliki wa boti hizo akishindwa kusema ukweli.

Nao baadhi ya wafanyabiashara katika mwalo wa Mwigobero wanadai kuwa mzigo huo wameuuza kwa wafanyabiashara toka nchi jirani ya Kenya.

 

Kwa mujibu wa mkuu wa vikosi vya uvuvi mkoani Mara,wafanyabiashara hao walililipia tani nne tuu huku wakikwepa kulipia tani zaidi ya elfu kumi na mbili za samaki hao.

  

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.