Star Tv

Rais Dokta John Magufuli aagiza flyover ya Mfugale iliyopo makutano ya Tazara ifungwe kamera haraka ili watakao sababisha ajali wawe wanajulikana huku akisisitiza umuhimu wa daraja hilo kutunzwa vizuri.

Rais Magufuli amesisitiza umuhimu wa watanzania kulinda miundombinu hiyo na kubwa zaidi kuhakikisha haiwi sehemu ya kusababisha ajali. Kwa upande wake Afisa mtendaja Mkuu wa Tanroads Bwana Patrick Mfugale amesema serikali inatarajia kujenga daraja lingine la juu katika eneo la Chang'ombe, lengo likiwa ni kupunguza misongamano na kusababisha wananchi kuchelewa kufika katika shughuli zao mbalimbali.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.