Star Tv
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Mwigulu Nchemba leo February 13, 2018 amewatembelea wafanyabiashara ndogondogo katika Soko Kuu la Wilaya ya Iramba, madereva pikipiki, daladala na makondakta walio katika Stendi Kuu ya Mabasi Kiomboi ili kujua changamoto zinazowakabili. Kwa upande wa madereva wa bodaboda Dkt. Mwigulu amewashauri waendesha bodaboda zao kwa usalama kuzingatia sheria za barabarani ili kuepusha ajali na kukamatwa mara kwa mara na maaskari polisi pindi wanapokosea. Wafanyabiashara ndogondogo wa Soko Kuu la Kiomboi wamemuomba Mbunge wao kuwasaidia kupunguza kodi nyingi ambazo wanakutana nazo wakati wanafanya biashara katika soko hilo, ombi ambalo Waziri Mwigulu amelipokea na kuahidi kulifanyia kazi.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.