Waziri mkuu wa Kassim Majariwa,amemwagiza mkuu wa mkoa wa Mara,Adamu Malima,kumchukulia hatua mhandisi wa Rorya Oberto SASAI kwa kushindwa kusimamia mradi wa maji wa kijiji cha Kinesi uliotolewa kiasi cha sh million 700 huku mkandarasi akishindwa kuukamilisha kwa wakati.

Waziri mkuu mheshimiwa Kassimu Majaliwa amemwagiza mkuu wa mkuu wa mkoa wa Mara,Adamu Malima,kumchukuliwa hatua muhandisi wa Maji wa wilaya ya Rorya,Obeto Sassi kwa kushindwa kusimamia mradi wa maji wa kijiji cha Kinesi.

Kwa upande wao,mbunge wa jimbo la Rorya Lameck Ayiro amemweleza waziri mkuu kuwa tatizo hilo ni kubwa na linahitaji ufumbuzi wa haraka.

Akielezea mradi huo,mhandisi wa maji wa wilaya hiyo,Obeto Sassai,amesema kuwa tatizo lillopo hapo ni mkandarasi kushindwa kuukamilisha mradi kwa wakati.

Waziri mkuu Kassimu Majaliwa anaendelea na ziara yake mkoani Mara,yupo wilayani Rorya akikagua na kuangalia shughuli miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya tano.

Picha na mtandao.

Latest News

Mauaji ya kukata makoromeo, washtakiwa wahukumiwa. Bukoba
20 Jun 2019 08:21 - Kisali Shombe

MAUAJI YA KUKATA MAKOROMEO:Washtakiwa wahukumiwa kunyongwa hadi kufa Mahakama kuu kanda ya Bukoba  imewahukumu  kunyo [ ... ]

Kudorola kwa soko la Pamba.
19 Jun 2019 12:20 - Kisali Shombe

Madiwani halmashauri ya wilaya ya bariadi mkoani Simiyu wameilalamikia serikali kuhusu zao la pamba kukosa soko la uhaki [ ... ]

Adha ya maji, Kalambo
19 Jun 2019 11:23 - Kisali Shombe

Wananchi  katika   kjiji cha  Kisungamile  kata  ya  matai   wilayani  Kalambo  mkoani  Rukwa  wameiomba   [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2019 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.