Star Tv

Mshirika wa muda mrefu wa Rais wa Marekani, Donald, Trump ajulikanaye kwa jina la Roger Stone amehukumiwa kifungo cha miezi 40 jela.

Add a comment

Tume ya Afya na Magonjwa ya China imesema kuwa wagonjwa wapya 889 wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona hadi kufikia siku ya jana.

Add a comment

Marekani imetangaza kufikia makubaliano ya kupunguza ghasia kwa siku saba nchini Afghanistan ambayo inatumai yatawezesha kupatikana kwa mkataba wa amani na kundi la Taliban.

Add a comment

Maambukizi mapya ya virusi vya Corona nchini China yameendelea kushuka leo, ambapo watu 1,749 zaidi wameambukizwa na vifo zaidi 136 wakati afisa wa ngazi ya juu ktika eneo kulikoanzia mripuko huo ameapa kumpata na kumtenga kila mtu aliyeathirika katika mji huo ifikapo jioni leo.

Add a comment

Idadi ya vifo kutokana na mlipuko wa virusi vipya vya corona imeongezeka leo na kupindukia 1,000, wakati Shirika la Afya Ulimwenguni WHO likionya kuwa watu walioambukizwa na hawajasafiri kwenda China huenda wakawasha moto mkubwa katika janga hilo.

Add a comment

Latest News

ZANZIBAR YAFUNGUA MILANGO KWENYE UTALII.
06 Jun 2020 10:30 - Grace Melleor

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeruhusu kuanzia leo safari za ndege za kitalii kuwasili nchini baada ya mambukizi ya [ ... ]

UFARANSA YATANGAZA KIFO CHA KIONGOZI WA AL-QAEDA.
06 Jun 2020 08:27 - Grace Melleor

Waziri wa Jeshi wa Ufaransa Florence Parly ametangaza kifo cha kiongozi wa al-Qaeda katika ukanda wa Maghreb (Aqmi) Abde [ ... ]

MZOZO WA SERIKALI YA LIBYA NA HAFTARI WAENDELEA KUSHIKA KASI.
06 Jun 2020 07:20 - Grace Melleor

Serikali ya Libya yadai kuuteka mji muhimu kutoka kwa hasimu wake Khalifa Haftar.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.