Star Tv

Jaji aliyeteuliwa kuongoza uchunguzi wa mauaji ya aliyekuwa rais wa Haiti, Jonevel Moise, amesema hataendelea na kesi hiyo, uamuzi ambao utachelewesha kesi hiyo inayongojewa kwa hamu kubwa.

Add a comment

Mkuu wa kundi linalosaidia watu kutoroka Belarus amepatikana akiwa amefariki karibu na mpaka wa nchi jirani ya Ukraine.

Add a comment

Rais wa Tunisia amemfukuza kazi Waziri Mkuu pamoja na kusitisha shughuli za bunge, kufuatia kuzuka kwa vurugu za maandamano katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.

Add a comment

Msichana mmoja aliyejulikana kwa jina la Neha Paswan, mwenye umri wa miaka 17, anadaiwa kupigwa hadi kufa na watu wa familia yake katika jimbo la kaskazini la Uttar Pradesh kwasababu hawakupenda vile anavyovaa jeans.

Add a comment

Rais wa Marekani Joe Biden amemhakikishia Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani msaada wa kidiplomasia na kiutu wakati kundi la Taliban likiendelea kuiwekea shinikizo serikali inayoungwa mkono na Marekani huko Kabul.

Add a comment

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.