Kiongozi wa kijeshi nchini Guinea Kanali Mamady Doumbouya anatarajiwa kuapishwa leo kama rais wa mpito.
Add a commentShirika la Afya Duniani limesema limesikitishwa na madai ya unyanyasaji wa ngono unaofanywa na wafanyakazi wake nchini DRC wakati wa mlipuko wa Ebola.
Add a commentWapiganaji wa Taliban wamepiga marufuku na kutoa maagizo kwa vinyozi katika mkoa wa Helmand nchini Afghanistan kutowanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume, wakisema hatua hiyo inakiuka sheria ya Kiislamu.
Add a commentKaribu theluthi mbili ya wapiga kura wa Uswizi wameunga mkono ndoa ya jinsia moja katika kura ya maoni.
Add a commentWaziri wa ulinzi wa Ufaransa amesitisha mazungumzo na mwenzake wa Uingereza huku pakiwa na mzozo uliochochewa na makubaliano mapya ya usalama kati ya Uingereza, Marekani na Australia.
Add a commentSiku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]
Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]
Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]
Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.