Star Tv

Teknolojia ya Robot inaendelea kukua na kutumika katika nchi mbalimbali huku hofu ikitanda miongoni mwa watu mbalimbali kuwa ukuaji wa teknolojia hiyo kwenye miaka ijayo itasababisha ongezeko la upungufu wa ajira duniani. Nchini Marekani katika mji wa Los Angeles roboti ya kwanza ya kutengeneza burger imeanza kutumika.

Inaelezwa kuwa kama teknolojia hii itaendelea itapunguza wafanya kazi katika migahawa ya chakula (Fast Food) kwani robot hizo hazipiki tu chakula, bali hadi kuandaa chakula hicho kwa wateja.

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.