Star Tv
Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence amesema kuwa Marekani iko tayari kwa mazungumzo na Korea Kaskazini bila ya kuwepo masharti yoyote. Katika kile kinachoonekana kama kubadilska kwa mnsimamo wa Marekani, Bw Pence aliliambia gazeti la the Washington Post kuwa ikiwa Korea Kaskazini inataka mazungumzo, basi utawala wa Trump utafanya hivyo. Lakini amesisitiza kuwa vikwazo vitakuwepo hadi Korea Kaskazini ichukue hatua za kumaliza mpango wake wa silaha za nyuklia.Bw Pence alikuwa akizungumza akiwa njiani kutoka kwa mashindano ya olimpiki ya msimu wa baridi nchini Korea Kusini, ambapo alifanya mazungumzo na Rais Moon Jae-in. Utawala wa Trump awali ulisema kuwa hautafanya mazungumzo na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jon-un ikiwa tu yuko tayari kuachana na mpango wa nyuklia.

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.