Star Tv

Ndege ya usafiri ya jeshi la Ukraine iliyokuwa na abiria watu 28 ilianguka Ijumaa jioni kaskazini mashariki mwa Ukraine.

Ndege hiyo ilikuwa imebeba marubani wa wanafunzi wa chuo cha jeshi la wanaanga, Wizara ya Mambo ya Ndani imesema, na Mamlaka nchini humo imesema watu 22 wamefariki dunia.

Watu wawili walijeruhiwa na kupelekwa hospitalini wakiwa katika hali mbaya, Wizara hiyo imeongeza.

"Miili ya watu 22 imepatikana, watu wawili wamejeruhiwa na zoezi la kutafuta watu wengine wanne linaendelea," mamlaka ya hali za dharura imebaini.

Ndege hiyo ilikuwa katika zoezi la mafunzo, rais Volodimir Zelenski amesema.

Chanzo: rfi Swahili.

Latest News

ETHIOPIA YASEMA HAITISHWI NA TAMKO LA RAIS DONALD TRUMP.
24 Oct 2020 16:54 - Grace Melleor

Waziri mkuu wa Ethiopia amesema nchi yake "haitakubali vitisho vya aina yoyote" baada ya Rais Donald Trump kusema kuwa M [ ... ]

RAIS TSHISEKEDI ATANGAZA MASHAURIANO YA UMOJA KWA MUUNGANO TAWALA.
24 Oct 2020 06:41 - Grace Melleor

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi, katika hotuba yake kwa taifa aliyoitoa siku ya Ijumaa wiki hi [ ... ]

SEKTA YA AFYA NCHINI YAPATA NEEMA KUTOKA USWISI.
23 Oct 2020 15:23 - Grace Melleor

Serikali imepokea msaada wa Faranga za Uswisi Milioni 15.75 sawa na shilingi Bilioni 39.59 kwa ajili ya kugharamia mradi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.