Star Tv

Notice: Uninitialized string offset: 932 in /var/www/html/startv.co.tz/public_html/startvweb/plugins/system/SEOSimple/SEOSimple.php on line 156

Kampuni ya Apple imekiri wasiwasi uliokuwa na wamiliki wengi wa simu ya iPhone kwa kufichua kwamba imekuwa ikizipunguza kasi baadhi ya simu za zamani za Iphone.

Wateja wengi kwa muda mrefu wamekuwa na wasiwasi kwamba kampuni hiyo inapunguza kasi ya kupakia na kupakua ya simu za zamani wakati zinapoendelea kuzeeka kwa sababu betri ya simu hizo zinapungua nguvu kila wakati simu hizo zinapoendelea kuzeeka.

Apple imesema kuwa lengo lake lilikuwa kuimarisha maisha ya simu hizo kwa wateja wao.Kitendo hicho kilithibitishwa baada ya mteja mmoja kusambaza utendakazi wake katika programu ya Reddit, akisema kuwa iPhone 6S imepunguza kasi kubwa kutokana na kuzeeka lakini ikaongeza kasi hiyo muda mfupi baada ya kuwekwa betri mpya.Mtandao wa kiteknolojia wa Geekbench baadaye ulizichanganua baadhi ya simu aina ya iPhones kupitia mifumo tofauti ya iOS na kubaini kwamba baadhi ya simu hizo zilikuwa zimepunguzwa kasi kwa makusudi,

Latest News

Mgogoro wa Maji unatishia Amani Duniani, inasema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa...
21 Mar 2024 14:18 - Kisali Shombe

Siku ya Maji Duniani ambayo inafanyika tarehe 22 Machi ikiwa na kaulimbiu: 'Maji kwa Ustawi na Amani. Ambapo maji ni moj [ ... ]

Matarajio katika mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini, Jumanne tarehe 22/2023
21 Aug 2023 12:14 - Kisali Shombe

Mkutano huo ambao utafanyikia Johannesburg nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne, tarehe 22 Agosti 2023, unatarajiwa kuhu [ ... ]

Rais Ramaphosa Kuwa Mwenyeji wa Rais Xi Jinping wa China
21 Aug 2023 11:11 - Kisali Shombe

Rais Cyril Ramaphosa Jumanne ya tarehe 22 Agosti 2023, atakuwa mwenyeji wa Mheshimiwa Rais Xi Jinping wa China katika Zi [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2024 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.