Mkuu mpya wa baraza la kijeshi mpito nchini Sudan amesema leo kuwa serikali ya kiraia itaundwa baada ya mashauriano na makundi ya upinzani na kuahidi kuwa kipindi cha mpito kitadumu kwa muda usiozidi miaka miwili.
Add a commentSerikali ya Msumbiji imesema visa vilivyothibitishwa vya maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu katika mji wa Beira vimeongezeka maradufu na kufikia wagonjwa 271 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.
Add a commentBingwa wa Dunia wa Mchezo wa Karate Rutashobya Rwezahula amesema Tanzania inaweza kutoa Mabingwa wengi katika Mchezo h [ ... ]
Naibu waziri wa Nishati Subira Mgalu amemuagiza Meneja wa Shirika la Umeme nchini TANESCO mkoa wa Pwani Martin Maduu ku [ ... ]
Walemavu wa Ngozi wanaoishi wilayani Monduli mkoani Arusha wapo hatarini kupata saratani ya Ngozi kutokana na kukosa maf [ ... ]
Copyright © 2019 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.