Vyama vya upinzani nchini Uganda wameungana kuwa na kituo chao kimoja cha kuhesabu kura katika uchaguzi mkuu.
Add a commentRais Yoweri Museveni wa Uganda amemteua meja generali Kayanja Muhanga kuwa mratibu wa masuala ya usalama nchini Uganda.
Add a commentJeshi la Kenya Defence Forces (KDF) limendelea kuwa na umaarufu wake katika Bara la Afrika kutokana na mafunzo na ushirikiano na nchi kama Israel, Marekani na Uingereza.
Add a comment
Serikali ya Rwanda imepiga marufuku usafiri wa umma na wa kibinafsi kati ya wilaya na mji mkuu wa Kigali.
Ofisi ya chama cha mgombea wa Urais nchini Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi imevamiwa na makumi ya wanajeshi wenye silaha pamoja na maafisa wa polisi.
Add a commentRais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa bado hajaona mtu mwenye uwezo wa kuiongoza Uganda kwa sasa, hivyo ataendelea kuwa madarakani.
Add a commentRwanda imehalalisha kisheria ukulima na mauzo ya nje ya nchi ya mmea wa bangi kwa ajili ya matumizi ya tiba ili kupata fedha.
Add a commentSerikali ya Somalia imekatisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Kenya.
Add a commentPembe la Afrika bado linakabiliwa na uvamizi wa nzige wa jangwani.
Add a commentRais mteule wa Marekani Joe Biden atatia saini maagizo 12 ya rais siku ya kuapishwa kwake kuwa rais wiki ijayo ili kushu [ ... ]
Rais wa muda mrefu nchini Uganda Yoweri Museveni jana Jumamosi ameonya kuwa vikosi vya usalama vitatumia nguvu kuzima ju [ ... ]
Watu wawili wakazi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara wamenusurika kuawa na wananchi wenye hasira kali kutoka kwa vijana [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.