Serikali ya Rwanda imethibitisha visa vingine vinne vya maambukizi ya Corona na kufikisha idadi ya watu walioambukizwa kufikia watano, hali ambayo inawatia hofu raia wa Rwanda.
Add a commentRais wa Kenya Uhuru Kenyatta amethibitisha kisa cha tatu cha maambukizi ya virusi vya corona hapo jana Machi 15, 2020 na kuamuru shule zote nchini humo zifungwe.
Add a commentUganda imeachana na mradi wa kujenga bwawa la kufua umeme katika maporomoko ya maji ya Marchison.
Add a commentWaziri wa afya nchini Kenya Mutahi Kagwe amethibitisha kisa cha mtu mmoja kutoka nchini humo kuugua ugonjwa wa Corona katika tangazo alilolitoa moja kwa moja kupitia vyombo vya habari.
Add a commentWananchi wa Kenya wanaendelea kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Daniel Arap Moi, aliyefariki dunia wiki iliyopita ambapo leo ni siku ya tatu na ya mwisho tangu wananchi wa Kenya waanze kutoa heshima kwa kiongozi wao.
Add a commentWatu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo, kufuatia mvua kubwa zilizosababisha maporomoko ya udongo katika wilaya ya Bududa mashariki mwa Uganda.
Add a commentWanafunzi saba wamekufa na wengine 57 wamejeruhiwa baada ya jengo la darasa moja kuanguka katika shule moja ya msingi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
Add a commentBunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, limepitisha azimio la kutaka kupitishwa kwa sheria ya kupiga marufuku utengenezaji na uingizwaji wa sabuni na vipodozi vyenye viambata vya sumu
vinavyodaiwa kuathiri afya za watumiaji hususani wanawake.
Rais mteule wa Marekani Joe Biden atatia saini maagizo 12 ya rais siku ya kuapishwa kwake kuwa rais wiki ijayo ili kushu [ ... ]
Rais wa muda mrefu nchini Uganda Yoweri Museveni jana Jumamosi ameonya kuwa vikosi vya usalama vitatumia nguvu kuzima ju [ ... ]
Watu wawili wakazi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara wamenusurika kuawa na wananchi wenye hasira kali kutoka kwa vijana [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.