Star Tv

Rais wa Marekani Donald Trump amefuta Mkutano wa viongozi wa mataifa 7 tajiri dunaini G7 na badala yake watazungumza kwa njia ya vidio kutoa fursa kwa viongozi kushughulikia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona katika nchi zao.

Mkutano huo uliokuwa uwakutanishe viongozi wa mataifa ya Canada, Ufaransa, Ujerumani, Japan, Italia, Uingereza na Marekani ulikuwa ufanyike mnamo mwezi Juni katika jimbo la Marekani la Maryland.

Rais Trump pia atakutana na viongozi wa mataifa hayo saba kwa njia ya video mnamo mwezi Aprili na Mei baada ya viongozi hao kufanya mkutano kuhusu mripuko wa virusi vya corona wiki hii.

Kwa hali inavyoendelea, serikali ya Rais Trump inaamini kuwa mlipuko wa virusi vya corona utaendelea kuwa na athari ulimwenguni hadi majira ya joto.

                                Mwisho

Latest News

BOBI WINE APINGA MATOKEO RASMI YA AWALI YA UCHAGUZI.
15 Jan 2021 12:57 - Grace Melleor

Mgombea wa urais nchini Uganda, Bobi Wine amepinga matokeo ya uchaguzi ambayo yametangazwa hadi sasa na kujitaja binafsi [ ... ]

RAIS MUSEVENI AONGOZA KATIKA KURA ZILIZOHESABIWA.
15 Jan 2021 08:43 - Grace Melleor

Rais wa Uganda Yoweri Museveni anaongoza kwa kura kura nyingi katika matokeo ya awali yaliyotolewa nana Tume ya uchaguzi [ ... ]

RAIS MAGUFULI AMPONGEZA MAALIM SEIF KWA MAAMUZI YAKE YA KICHUJAA.
14 Jan 2021 13:52 - Grace Melleor

Rais wa John Pombe Magufuli amempongeza mwanasiasa wa upinzani Maalim Seif Shariff kwa kukubali kujiunga na Serikali ya  [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.